Kongamano la Nairobi – 16 – 17 Disemba, 2016

Kongamano la Chaukidu la kwanza Afrika Mashariki, lililofanyika katika Chuo Kikuu cha Kikatoliki cha Afrika Mashariki, jijini Nairobi, Kenya, lilifana kwa kiasi kikubwa sana. Hizi ni picha mbalimbali zilizopigwa katika kongamano hilo.