Chama cha Ukuzaji Kiswahili Duniani (CHAUKIDU) chaukidu@gmail.com

Muundo wa Bodi

Bodi ya Chaukidu huundwa na Rais wa Chaukidu, Makamu wa Rais, Mkurugenzi Mtendaji, Naibu Mkurugenzi, Katibu, Mhazini, Mwenyekiti wa Tume ya Katiba na Uchaguzi (TKU), Mwenyekiti wa Kamati ya Uhariri, Rais Mtangulizi, pamoja na wajumbe wengine waliochaguliwa/walioteuliwa kutekeleza majukumu mbalimbali ya Chaukidu na kuwakilisha kanda mbalimbali. Kupata taarifa zaidi kuhusu bodi ya Chaukidu, tafadhali fuata menyu yetu hapo juu, au bofya viungo vifuatavyo: