CHAUKIDU secretariat@chaukidu.org

Category : Blog

Shahada za Kura

Kwa wanachama wote wa CHAUKIDU Hivi punde mtaanza kupokea karatasi au shahada za kupigia kura kutoka kwa BallotBin na ujumbe ufuatao: Uchaguzi wa Viongozi wa Chaukidu 2019 This is...

Wagombea wa Nafasi Zaidi ya Moja

Kwa wanachama wote wa CHAUKIDU Wakati tunajiandaa kukamilisha zoezi la upigaji kura na kuwapata viongozi wapya, Kamati ya Katiba na Uchaguzi (KKU) ingependa kutoa ufafanuzi ufuatao.  Kwanza tunaomba kuwahakikishia...

Tanzazo Maalumu Na. 001: Uchaguzi wa Viongozi wa Chaukidu 2019 – 2021

Tangazo Muhimu Kuhusu Uchaguzi wa Chaukidu Kwa wanachama na wakereketwa wote wa CHAUKIDU, Kamati teule ya Katiba na Uchaguzi ingependa kuwajulisha kwamba kama ilivyoazimiwa katika mkutano mkuu wa mwaka...

Tangazo Muhimu Na. 003: Kuongezwa Muda

Tangazo Muhimu Na. 003: Kuongezwa Muda Kufuatia maamuzi ya kikao cha Bodi ya CHAUKIDU kilichofanyika tarehe 10 Machi 2019, Kamati ya Katiba na Uchaguzi (KKU) inatangaza rasmi kwamba muda...

Kupendekeza Majina

Tangazo Muhimu # 002: Kupendekeza Majina Kwa mujibu wa Katiba ya Chama, vifungu namba 5.5, 6.3, 6.4 na 6.4.1, Kamati ya Katiba na Uchaguzi (TKU) ingependa kuwajulisha kwamba mchakato wa...

Mabadiliko ya Katiba

Kila mwanachama anayo haki na jukumu la kuisoma Katiba Inayopendekezwa ambayo ilisambazwa na Mkurugenzi siku kadhaa zilizopita. Baada ya kuisoma kila mwanachama anapaswa kupiga kura yake kwa njia ya...

Kongamano la Chaukidu Dar es Salaam – 15 & 16 Disemba 2017

Kongamano la Chaukidu la pili Afrika Mashariki, lililofanyika katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, jijini Dar es Salaam, Tanzania, lilifana kwa kiasi kikubwa sana. Hizi ni picha mbalimbali zilizopigwa...