Chama cha Ukuzaji Kiswahili Duniani (CHAUKIDU) chaukidu@gmail.com

MAWASILIANO

Ukiwa na swali lolote, maulizo, tatizo la kiufundi, au suala lolote, tafadhali usisite kututumia ujumbe na tutakujibu haraka iwezekanavyo. Asante sana!

Rais

Dr. Leornard Muaka
350 Locke Hall
2441 6th St. Washington DC 20059
muaka@chaukidu.org
(202) - 806 - 6758

Mkurugenzi

Dr. Filipo Lubua
Department of Linguistics
University of Pittsburgh
filathemr@yahoo.com
412-624-5512

Wajumbe wa Bodi

Unaweza kuandika ujumbe kwa mwanabodi aliyeko karibu na eneo uishilo. Kupata mawasiliano ya mjumbe wa karibu na eneo lako, fungua ukurasa wa Bodi, au Bofya Hapa.

3 Comments

  1. Prince Antonio

    Asaam Allaikhum,
    Mkurugenzi Mtendaji,
    Mimi ni Kijana wa kitanzania ninaishi Dodoma – Tanzania Afrika ya Mashariki,ni mkurugenzi mtendaji wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya Haki Mtoto Foundation ninapenda kuwa mwanachama wa CHAUDIKU, nimeisoma katiba na kuielewa vema, Ninapenda kufahamu namna ya kujiunga na taratibu zake zote kwa ujumla.Niimani yangu kuwa kwa kupata nafasi ya kuwa mwanachama nitashiriki kutoa mchango wa mali na halikatika kukikuza na kukifanya kiswahili kuwa lugha bora na yenye matao katika Afrika na Dunia nzima.
    Nasubiri majibu mazuri toka kwako
    Ahsante!

  2. Luciene

    Hii sio haki wala Ushujaa wageni wgnainaia nakafanya watakacho kanakwamba hili ni shamba la Bibi? hebu vyombo vyenye dhamana viwe makini na mambo kama haya kwani Mchelea mwana kulea hulia Mwenyewe leo wameingia Kigoma, kesho wataingia Sirali, Kesho kutwa wataingia, Upande wa kusini na siku nyingine Isibania na kadhalika. Ni hayo tu ndugu zangu Tz isigeuzwe Jamvi la Wageni.

  3. jubeck masebo

    kwa kweli ni vizuri kuanzisha cha hiki kwani ni muhimu kwa maendeleo ya lugha yetu ya Kiswahili duniani

Leave a Reply to jubeck masebo Cancel reply