Nafasi za Kazi


Comments

Nafasi za Kazi — 6 Comments

  1. Naomba kazi ya uhadhiri katika chuo chochote ulimwenguni. Mi ni Mkenya. Nina shahada ya uzamili kutoka Chuo Kikuu cha Kenyatta ambako naendelea kusomea shahada ya uzamifu

  2. Nimependa ubunifu na nia yenu ya dhati ya kuikuza na kuiendeleza lugha ya Kiswahili kwa maendeleo ya waafrika, wadau na wote wenye nia njema ya kuendeleza na kudumisha amali na lulu hii adhimu kwa maendeleo ya dunia. Hivyo wazo hili liendelezwe na kuhakikisha lugha ya Kiswahili inatimiza malengo ya kukuza vipaji na uchumi wa wadau kama waandishi, wasanii, waigizaji, wakalimani, wana habari ili kuleta dhima ya ukombozi kupitia lugha adimu ya Kiswahili.

  3. natamani kuwa mhadhiri wa somo la kiswahili, kukiwa na chuo chote duniani kilicha na uhitaji huo tuwasiliane, nimehitimu shahada ya elimu maalumu na somo la kiswahili

  4. Katika siku ambazo nimejariwa kuwa na furaha ni pamoja na leo baada ya kutembelea ukulasa huu. Naitwa Innocent matafi, ni mtanzania mwenye shahada ya awali ya kiswahili katka fasihi. Hivyo, sinabudi kuwashukuru kwa kuanzisha chama hiki, ni waz kwamba kitawasaidia wengi, wazungumzaji asili na wajifunzaji, pia wakufunz na wanafunz kwa ujumla. Pengne nimechelewa ila si sana, lakini kama nafasi zikipatikana naomba nifahamishwe niweze kutuma maombi. Na nahitaj pia kuwa mwanachama. Mawasiliano: imatafi@yahoo.com au +255753730400

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *