Chama cha Ukuzaji Kiswahili Duniani (CHAUKIDU) chaukidu@gmail.com

Nafasi za Kazi

6 Comments

  1. Daniel Ng'etich

    Naomba kazi ya uhadhiri katika chuo chochote ulimwenguni. Mi ni Mkenya. Nina shahada ya uzamili kutoka Chuo Kikuu cha Kenyatta ambako naendelea kusomea shahada ya uzamifu

  2. ERIC MPETA

    Nimependa ubunifu na nia yenu ya dhati ya kuikuza na kuiendeleza lugha ya Kiswahili kwa maendeleo ya waafrika, wadau na wote wenye nia njema ya kuendeleza na kudumisha amali na lulu hii adhimu kwa maendeleo ya dunia. Hivyo wazo hili liendelezwe na kuhakikisha lugha ya Kiswahili inatimiza malengo ya kukuza vipaji na uchumi wa wadau kama waandishi, wasanii, waigizaji, wakalimani, wana habari ili kuleta dhima ya ukombozi kupitia lugha adimu ya Kiswahili.

  3. MFINANGA VICENT, F.

    Naomba nafasi ya kufundisha lugha ya Kiswahili kwa wageni na pia kuhariri. Mimi ni mtanzania nasoma shahada ya awali ya Sanaa na lugha katika Chuo Kikuu cha Dodoma.

  4. ELIAS ERASTO

    natamani kuwa mhadhiri wa somo la kiswahili, kukiwa na chuo chote duniani kilicha na uhitaji huo tuwasiliane, nimehitimu shahada ya elimu maalumu na somo la kiswahili

  5. INNOCENT MATAFI

    Katika siku ambazo nimejariwa kuwa na furaha ni pamoja na leo baada ya kutembelea ukulasa huu. Naitwa Innocent matafi, ni mtanzania mwenye shahada ya awali ya kiswahili katka fasihi. Hivyo, sinabudi kuwashukuru kwa kuanzisha chama hiki, ni waz kwamba kitawasaidia wengi, wazungumzaji asili na wajifunzaji, pia wakufunz na wanafunz kwa ujumla. Pengne nimechelewa ila si sana, lakini kama nafasi zikipatikana naomba nifahamishwe niweze kutuma maombi. Na nahitaj pia kuwa mwanachama. Mawasiliano: imatafi@yahoo.com au +255753730400

Leave a Reply to MFINANGA VICENT, F. Cancel reply