CHAUKIDU Inakaribisha makala kutoka mawanda yafuatayo
- Ufundishaji wa lugha Isimu: km fonetiki
- fonolojia
- mofolojia
- semantiki
- isimu linganishi
- isimu jamii
- nk Fasihi: fasihi simulizi
- fasihi andishi
- Ulinganifu wa Kiswahili na lugha nyingine za Afrika. Utamaduni wa Waswahili na wazungumzaji wa Kiswahili Sera na matumizi ya lugha Maendeleo ya Kiteknolojia