Ukurasa huu ni kwa ajili ya kutuma miswada ya machapisho. Kipaumbele kitatolewa kwa wanachama wa CHAUKIDU waliolipa ada ya uanachama kwa mwaka huu. Ikiwa hujalipa ada ya uanachama, tafadhali
bofya hapa ujisajili na ulipe ada yako kabla ya kutuma mswada wako. Ikiwa umeshalipa ada yako kwa wawakilishi wa CHAUKIDU walioko maeneo mbalimbali, tengeneza akaunti ya wasifu wako hapa na utume mswada wako. Ikiwa ulishajisajili kama mwanachama wa CHAUKIDU kwa miaka iliyopita, tumia jina/anuani-pepe na nywila yako ya zamani kuingia na kulipia uanachama wako kwa mwaka huu na kisha kutuma ikisiri/mswada wako. Weka taarifa zako hapo chini ili uweze kuingia na kutuma mswada wako.
Kabla ya kutuma mswada wako, hakikisha umesoma maelekezo kwa waandishi na pia umeiangalia sampuli hii kabla ya kutuma makala yako. Kama tayari, tafadhali ingia na utume makala yako hapo chini.
Tafadhali ingia hapa ili uweze kutuma au kutathmini ikisiri/mswada