CHAUKIDU secretariat@chaukidu.org

Wasiliana Nasi

Mitandao ya Jamii

Usajili Wasio Wanachama Kongandao 2021

Ukurasa huu ni wa malipo kwa wale ambao hawajalipia ada ya uanachama kwa mwaka huu. Ikiwa wewe ni mwanachama aliyelipia ada na umekuja hapa kimakosa, Bofya Hapa kurudi kwenye ukurasa wa usajili kwa wanachama. Ikiwa hujalipia ada yako kwa mwaka huu na ungependa kulipia ili upate faida wapatazo wanachama, bofya hapa kulipia ada yako ya uanachama. Vinginevyo, kama ungependa kulipia kongamano bila kuwa mwanachama, chagua malipo stahiki hapo chini:

 

Usajili kwa Wasio Wanachama Hai

Gharama za Usajili