CHAUKIDU secretariat@chaukidu.org

Wasiliana Nasi

Mitandao ya Jamii

Uteuzi

Wafuatao wanapendekezwa na Kamati ya Uongozi kuteuliwa kuwa wajumbe wa Bodi ya CHAUKIDU 2021-2023. Tunaomba upige kura kuthibitisha uteuzi huo. Piga kura yako kwa kuchagua NDIYO au HAPANA kwa kila mpendekezwa.

8
Yuning Shen
8
Mosol Kandagor
8
Maryam Ismail Jaffar
9
Felix Sosoo
7
Vitoni Pamagila