CHAUKIDU secretariat@chaukidu.org

Kongamano Havana 2024

Karibu kwenye Kongamano letu la kipekee la Havana 2024! Jitayarishe kwa siku nne za mafunzo, mijadala, na fursa ya kujifunza kutoka kwa wataalamu wa Kiswahili duniani. Kongamano litafanyika kuanzia tarehe 7 hadi 10 Novemba 2024. Usikose fursa hii adimu ya kubadilishana mawazo na kuimarisha ujuzi wako. Jiandikishe sasa!
  • Date : 7/11/2024 - 10/11/2024
  • Venue : Havana, Cuba

Purchase Ticket

Wanafunzi ( Unlimited tickets)
$20
$ 0
Wanachama ( Unlimited tickets)
$50
$ 0
Wasio Wanachama ( Unlimited tickets)
$100
$ 0
0.00
$ 0.00