Chama cha Ukuzaji Kiswahili Duniani (CHAUKIDU) chaukidu@gmail.com

Chaukidu inahimiza matumizi ya Kiswahili katika maeneo mbalimbali duniani ili kueneza lugha hii na kuitambulisha kwa watu wa tamaduni tofauti

Chama kina lengo la kujenga uhusiano mzuri kati ya wanaojifunza Kiswahili na jamii za Afrika Mashariki, kuchochea mawasiliano na kubadilishana utamaduni

Chaukidu inajaribu kuunganisha watu na taasisi zinazojishughulisha na Kiswahili ili kubadilishana mawazo, uzoefu, na kufanya kazi kwa pamoja

Uwanachama

Jiunge na CHAUKIDU
Kukuza Mahusiano na wa Utamaduni

Tunakualika kujiunga na CHAUKIDU, chama kisichokuwa na malengo ya kifedha, ili kushiriki katika kukuza mahusiano na utamaduni wa Afrika Mashariki. Ada ya uanachama ni $30 kwa watu wa diaspora na $20 kwa wanaoishi Afrika Mashariki, pamoja na ada nafuu kwa wanafunzi. Unaweza kulipa kwa kujaza fomu na kutumia Paypal. Tupo hapa kusaidia na kufanya kazi pamoja, tafadhali wasiliana nasi kwa maswali au msaada zaidi.

0%

Tupigie sim

+1 (740) 591-8749

Tuna Miaka Taribani 20

Chama cha Ukuzaji wa Kiswahili Duniani

Jiunge nasi katika azma yetu ya kuinua Kiswahili kuelekea kwenye mafanikio mapya. Pamoja, tunadumisha lugha na utamaduni wa Kiswahili, tukiuunganisha ulimwengu wote. CHAUKIDU: Kiswahili Kienee Duniani.

Soma zaidi

500

Wanachama

200

Mapitio chanya

9

Makongamano

12

Uzoefu

Kuwa Huru Kuwasiliana Nasi

Makao Makuu ya CHAUKIDU kwa sasa yako katika Chuo Kikuu cha Pittsburgh, nchini Marekani.

Azma Yetu

Malengo Yetu

Kuendeleza na kuharakisha maendeleo ya Kiswahili duniani kote, kuimarisha mahusiano kati ya maeneo mbalimbali na Afrika Mashariki, na kuwaunganisha wadau wa Kiswahili waliosambaa ulimwenguni.

CHAUKIDU inasisitiza matumizi ya Kiswahili katika elimu, mawasiliano, utamaduni, na maeneo mengine ili kuzidisha ukuaji wa lugha hiyo.

Chama hicho kina lengo la kufanya mawasiliano kuwa rahisi zaidi kwa kutumia Kiswahili kama lugha ya mawasiliano

Tunaandaa makongamano na warsha kujadili masuala mbalimbali yanayohusu Kiswahili na kusaidia katika maendeleo yake.

Chama hicho kinatoa ushauri kwa serikali za nchi za Afrika Mashariki na zile nyingine zenye lugha ya Kiswahili ili kusaidia katika kuendeleza lugha hiyo

Viongozi Wetu

Tuna Viongozi Wazoefu na Weledi

Filipo Lubua, Ph.D.

Rais wa CHAUKIDU

Mussa Hans, Ph.D.

Mkurugenzi wa CHAUKIDU

Iribe Mwangi, Ph.D.

M/Rais wa CHAUKIDU

Happiness Bulugu

Mhazini wa CHAUKIDU
Makongamano na Warsha

Makongamano

CHAUKIDU imeendesha mikutano ya kielimu na warsha ili kujadili masuala mbalimbali yanayohusu Kiswahili na kusaidia katika maendeleo ya lugha hiyo.

Habari na Matangazo

Cheki Habari Zetu

Maoni
Wasemavyo Wadau

Maoni ya Wadau na Wanachama Kuhusu CHAUKIDU