Taarifa ya Uchaguzi Mkuu wa CHAUKIDU Wapendwa Wanachama wa Chaukidu, Kama mjuavyo, kila baada ya miaka miwili, chama chetu hufanya uchaguzi mkuu kuwachagua viongozi na wajumbe wa Bodi ya...
Kwa mujibu wa katiba yetu, kila mwaka tunapaswa kuwa na Mkutano Mkuu unaowashirikisha wanachama wote. Mkutano huo tumekuwa tukiufanya katika makongamano ya ALTA/CHAUKIDU ya mwezi wa Aprili, ila kwa...