CHAUKIDU secretariat@chaukidu.org

Hoteli Kilifi 2021

Taarifa za Hoteli

Kuna hoteli nyingi Kilifi na nyingi hutoa chakula cha asubuhi. Bei hutegemea mfuko wa mtu; tutaweka bei za vyumba hivi karibuni. Kwa kuwa itakuwa ni mwisho wa mwaka, huenda bei itabadilika kidogo tofauti na ilivyosasa. Kwa kawaida bei huwa juu kwa sababu watalii wa ndani na nje ya nchi huwa wengi. Tutaendelea kuwajulisha habari zaidi kadri tunavyoendelea na mipango ya kongamano.

Aidha, tunafanya mawasiliano na uongozi wa chuo ili tupate nafasi kwenye hosteli za chuo ambazo tunaamini zitakuwa na bei ya chini zaidi ya hoteli.

Pwani University Resource Centre
  1. Double room, bed only (without breakfast) Ksh 1500
  2. Double room bed (with breakfast) Ksh 2300
  3. Single room, bed (without breakfast) Ksh 1000
  4. Single room, bed (with breakfast) Ksh 1400
Hoteli zilizopo karibu na Chuo Kikuu cha Pwani
  1. Dhows Inn
  2. Magreb Hotel
  3. Mnarani Hotel
  4. Makuti Villa
  5. Watergate Hotel
  6. CDA – Kilifi
  7. Baobab Hotel

Bado tunafuatilia bei za vyumba. Hoteli zote zinahuduma ya bure ya intaneti