Usajili katika Kongamano
Ili kuhudhuria kongamano la CHAUKIDU Disemba 2017 jijini Dar es Salaam, ni muhimu ujisajili. Tunawahimiza wote wafikirie kujisajili kama wanachama wa CHAUKIDU. Unaweza kujisajili mtandaoni kupitia ukurasa wa CHAUKIDU ambao una kiungo cha PayPal. Ikiwa hili haliwezekani, usajili unaweza kufanywa wakati wa kongamano bila faini.
Viwango vya Ada
Hadhira |
Gharama za Usajili |
Wanafunzi (Tumia kitambulisho cha chuo) | TSh. 50,000 au $25 |
Washiriki kutoka Barani Afrika | TSh. 80,000 au $40.00 |
Washiriki kutoka nje ya Afrika | TSh. 340,000 au $150.00 |
Gharama za Usajili |
Uanachama wa CHAUKIDUIli kulipia uanachama wa CHAUKIDU, tafadhali utembelee ukurasa wa CHAUKIDU (chaukidu.org). Tungependa kuwahimiza nyote kujiunga na Chama rasmi. Bofya Hapa Kujiunga na Chama.