Mada/Majopo ya Kongamano la Dar
- Historia na maendeleo ya Kiswahili
- Kiswahili na fasihi
- Kiswahili na utamaduni
- Kiswahili na elimu
- Kiswahili na sayansi (asilia na tumizi)
- Kiswahili na teknolojia ya habari na mawasiliano
- Kiswahili na uandishi na uchapishaji
- Kiswahili na vyombo vya habari (vya jadi na kisasa)
- Kiswahili na muziki (taarabu, dansi, bongofleva, nk)
- Kiswahili na afya jamii
- Kiswahili, utawala na siasa (kitaifa, kikanda na kimataifa)
- Kiswahili na uchumi
- Kiswahili na Sanaa za maonesho (filamu, futuhi, maigizo, matangazo ya biashara na ngoma)
- Kiswahili na sheria
- Kiswahili na utandawazi
- Kiswahili na diaspora
- Kiswahili na uanazuoni
- Kiswahili na leksikografia
- Kiswahili na ujifunzaji na ufundishaji wa Kiswahili
- Kiswahili na lahaja zake (dhana za usanifu, ufasaha, sheng, mtaani, kiswanglish, nk)
- Kiswahili na utalii
- Kiswahili na shughuli za kijadi (mfano ufinyanzi, uvuvi, ujenzi, utengenezahi majahazi, nk)
- Kiswahili na biashara (kubwa na ndogo – umachinga, ubodaboda, umatatu, udaladala, umamalishe, nk)