CHAUKIDU secretariat@chaukidu.org

Membership Checkout

Membership Level change

You have selected the Uanachama wa Mwanafunzi (Nje ya Afrika) membership level.

Hii ni aina ya uanachama kwa wadau wa Kiswahili waishio nje ya Afrika ambao ni wanafunzi. Ukiwa mwanachama hai katika aina hii ya uanachama unapata faida zote za uanachama ambazo ni pamoja na:
  1. Kuunganishwa na wataalamu na wadau wa Kiswahili watokao maeneo mbalimbali duniani
  2. Kupata punguzo katika majarida na bidhaa mbalimbali za CHAUKIDU
  3. Kupewa punguzo la ada ya kushiriki Makongamano ya CHAUKIDU
  4. Kupewa nafasi ya kwanza kuchapisha makala kwenye Jarida la CHAUKIDU
  5. Ukiwa Mwanafunzi kupewa kiasi fulani cha Ufadhili kuhudhuria Makongamano.
  6. Kuweza kushiriki katika Warsha mbalimbali.
  7. Kwa wanafunzi, kuweza kuunganishwa na Walezi, Wataalamu waliobobea katika taaluma mbalimbali za Kiswahili.
  8. Kupata fursa ya kutangamana na Wapenzi, Watafiti na Wanataaluma za Kiswahili kutoka kote Duniani. Makongamano ya CHAUKIDU huandaliwa katika nchi tofauti kila Mwaka.

The price for membership is $15.00 per Year.

Membership expires on December 31, 2024.


Account Information Already have an account? Log in here

LEAVE THIS BLANK

Join our mailing list.