CHAUKIDU secretariat@chaukidu.org

Dar-Mada

 

Mada/Majopo ya Kongamano la Dar

  1. Historia na maendeleo ya Kiswahili
  2. Kiswahili na fasihi
  3. Kiswahili na utamaduni
  4. Kiswahili na elimu
  5. Kiswahili na sayansi (asilia na tumizi)
  6. Kiswahili na teknolojia ya habari na mawasiliano
  7. Kiswahili na uandishi na uchapishaji
  8. Kiswahili na vyombo vya habari (vya jadi na kisasa)
  9. Kiswahili na muziki (taarabu, dansi, bongofleva, nk)
  10. Kiswahili na afya jamii
  11. Kiswahili,  utawala na siasa (kitaifa, kikanda na kimataifa)
  12. Kiswahili na uchumi
  13. Kiswahili na Sanaa za maonesho (filamu, futuhi, maigizo, matangazo ya biashara na ngoma)
  14. Kiswahili na sheria
  15. Kiswahili na utandawazi
  16. Kiswahili na diaspora
  17. Kiswahili na uanazuoni
  18. Kiswahili na leksikografia
  19. Kiswahili na ujifunzaji na ufundishaji wa Kiswahili
  20. Kiswahili na lahaja zake (dhana za usanifu, ufasaha, sheng, mtaani, kiswanglish, nk)
  21. Kiswahili na utalii
  22. Kiswahili na shughuli za kijadi (mfano ufinyanzi, uvuvi, ujenzi, utengenezahi majahazi, nk)
  23. Kiswahili na biashara (kubwa na ndogo – umachinga, ubodaboda, umatatu, udaladala, umamalishe, nk)