MAWASILIANO

Ukiwa na swali lolote, maulizo, tatizo la kiufundi, au suala lolote, tafadhali usisite kututumia ujumbe na tutakujibu haraka iwezekanavyo. Asante sana!

Rais

Dkt. Mahiri Mwita
210E Aaron Burr Hall
Princeton, NJ 08544
mmwita@princeton.edu
(609)-258-7497

Mkurugenzi

Dr. Leornard Muaka
350 Locke Hall
2441 6th St. Washington DC 20059
muaka@chaukidu.org
(202) - 806 - 6758

Wajumbe wa Bodi

Unaweza kuandika ujumbe kwa mwanabodi aliyeko karibu na eneo uishilo. Kupata mawasiliano ya mjumbe wa karibu na eneo lako, fungua ukurasa wa Bodi, au Bofya Hapa.


Comments

MAWASILIANO — 3 Comments

  1. Asaam Allaikhum,
    Mkurugenzi Mtendaji,
    Mimi ni Kijana wa kitanzania ninaishi Dodoma – Tanzania Afrika ya Mashariki,ni mkurugenzi mtendaji wa Taasisi isiyo ya kiserikali ya Haki Mtoto Foundation ninapenda kuwa mwanachama wa CHAUDIKU, nimeisoma katiba na kuielewa vema, Ninapenda kufahamu namna ya kujiunga na taratibu zake zote kwa ujumla.Niimani yangu kuwa kwa kupata nafasi ya kuwa mwanachama nitashiriki kutoa mchango wa mali na halikatika kukikuza na kukifanya kiswahili kuwa lugha bora na yenye matao katika Afrika na Dunia nzima.
    Nasubiri majibu mazuri toka kwako
    Ahsante!

  2. Hii sio haki wala Ushujaa wageni wgnainaia nakafanya watakacho kanakwamba hili ni shamba la Bibi? hebu vyombo vyenye dhamana viwe makini na mambo kama haya kwani Mchelea mwana kulea hulia Mwenyewe leo wameingia Kigoma, kesho wataingia Sirali, Kesho kutwa wataingia, Upande wa kusini na siku nyingine Isibania na kadhalika. Ni hayo tu ndugu zangu Tz isigeuzwe Jamvi la Wageni.

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *