CHAUKIDU secretariat@chaukidu.org

Wasiliana Nasi

Mitandao ya Jamii

Makala Chaukidu Kilifi 2021

Ikiwa uliwasilisha makala yako katika kongamano la CHAUKIDU lililofanyika Chuo Kikuu cha Pwani, Kenya mwaka 2021, tafadhali tuma makala yako hapa kwa ajili ya kuanza mchakato wa uchapishaji. Makala zitakazopokelewa, zitafanyiwa tathmini na wahariri maalumu na kuthibitisha ubora wa makala hizo kabla ya kuzichapisha.
Tafadhali ingia hapa ili uweze kutuma au kutathmini ikisiri/mswada
Ingia Ndani
Umesahau Nywila? Weka Upya
Nikumbuke
Huna Akaunti? Tengeneza Akaunti