CHAUKIDU secretariat@chaukidu.org

Blog Details

Ufadhili

Ufadhili kwa Wanafunzi

CHAUKIDU hutoa ufadhili kwa wanafunzi wanaosoma katika vyou vikuu ili kuwawezesha kuhudhuria makongamano. Ili kupata ufadhili huu, wanafunzi wanatakiwa kufanya yafuatayo:
  1. Kuandika ikirisi na kuituma CHAUKIDU kwa kufuata utaratibu wa kuwasilisha ikisiri uliowekwa.
  2. Kuandika barua ya kuomba ufadhili baada ya ikisisi kukubaliwa.
  3. Kuandika makala na kuwasilisha kwenye kongamano.

Wanafunzi waliopata ufadhili 2019

  1. Majina yatawekwa hivi karibuni.
  2. .
  3. .
Releted Tags
    Share:

    Leave a comment