Kongamano la Kimataifa la 4 la Chaukidu
Disemba 15 – 16, 2018 Zanzibar, Tanzania
Mwenye macho haaimbiwi tazama! Chaukidu kingependa kutangaza kongamano la nne la kimataifa na la tatu katika eneo la Afrika Mashariki litakalofanyika katika Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), Zanzibar Tanzania. Kongamano la nne la Kimataifa litafanyika Zanzibar, Tanzania katika Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA).
Kwa maelezo zaidi Bofya Hapa
Tangazo la Uzinduzi wa Jarida la Chaukidu – Washington, DC
Uzinduzi wa Jarida la CHAUKIDU_Edited