CHAUKIDU secretariat@chaukidu.org

Blog Details

Mabadiliko ya Katiba

Kila mwanachama anayo haki na jukumu la kuisoma Katiba Inayopendekezwa ambayo ilisambazwa na Mkurugenzi siku kadhaa zilizopita. Baada ya kuisoma kila mwanachama anapaswa kupiga kura yake kwa njia ya kielektroniki, kwa wale ambao watahudhuria mkutano wa tarehe 20 April 2018 huko Virginia na wengine ambao hawatakuwepo kwenye mkutano pia. Taafadhali piga kura yako kwa kujibu swali lililoonyeshwa hapo chini:
web survey
Releted Tags
    Share: