Kongamano la Nairobi – 16 – 17 Disemba, 2016

Kongamano la Chaukidu la kwanza Afrika Mashariki, lililofanyika katika Chuo Kikuu cha Kikatoliki cha Afrika Mashariki, jijini Nairobi, Kenya, lilifana kwa kiasi kikubwa sana. Hizi ni picha mbalimbali zilizopigwa katika kongamano hilo.

Chaukidu Conference 2015

Picha mbalimbali zilizopigwa katika kongamano la Chaukidu la mwaka 2015 lililofanyika jijini Washington, DC, tarehe 23 Aprili 2015.

 

CHAUKIDU

Hello all! Thanks for visiting CHAUKIDU’s website. This is a free blog for comments, questions and/or any concerns. Please feel free to contribute on any issues that need response from the web admins, the President, Director, Board Members or any … Continue reading