CHAUKIDU secretariat@chaukidu.org

Blog Standard

Ufadhili

Ufadhili kwa Wanafunzi CHAUKIDU hutoa ufadhili kwa wanafunzi wanaosoma katika vyou vikuu ili kuwawezesha kuhudhuria makongamano. Ili kupata ufadhili huu, wanafunzi wanatakiwa kufanya yafuatayo: Kuandika ikirisi na kuituma CHAUKIDU...

Mkutano Mkuu wa Mwaka

Kwa mujibu wa katiba yetu, kila mwaka tunapaswa kuwa na Mkutano Mkuu unaowashirikisha wanachama wote. Mkutano huo tumekuwa tukiufanya katika makongamano ya ALTA/CHAUKIDU ya mwezi wa Aprili, ila kwa...

Shahada za Kura

Kwa wanachama wote wa CHAUKIDU Hivi punde mtaanza kupokea karatasi au shahada za kupigia kura kutoka kwa BallotBin na ujumbe ufuatao: Uchaguzi wa Viongozi wa Chaukidu 2019 This is...

Wagombea wa Nafasi Zaidi ya Moja

Kwa wanachama wote wa CHAUKIDU Wakati tunajiandaa kukamilisha zoezi la upigaji kura na kuwapata viongozi wapya, Kamati ya Katiba na Uchaguzi (KKU) ingependa kutoa ufafanuzi ufuatao.  Kwanza tunaomba kuwahakikishia...

Tanzazo Maalumu Na. 001: Uchaguzi wa Viongozi wa Chaukidu 2019 – 2021

Tangazo Muhimu Kuhusu Uchaguzi wa Chaukidu Kwa wanachama na wakereketwa wote wa CHAUKIDU, Kamati teule ya Katiba na Uchaguzi ingependa kuwajulisha kwamba kama ilivyoazimiwa katika mkutano mkuu wa mwaka...

Tangazo Muhimu Na. 003: Kuongezwa Muda

Tangazo Muhimu Na. 003: Kuongezwa Muda Kufuatia maamuzi ya kikao cha Bodi ya CHAUKIDU kilichofanyika tarehe 10 Machi 2019, Kamati ya Katiba na Uchaguzi (KKU) inatangaza rasmi kwamba muda...

Kupendekeza Majina

Tangazo Muhimu # 002: Kupendekeza Majina Kwa mujibu wa Katiba ya Chama, vifungu namba 5.5, 6.3, 6.4 na 6.4.1, Kamati ya Katiba na Uchaguzi (TKU) ingependa kuwajulisha kwamba mchakato wa...