Taarifa za awali za hoteli
Kamati ya Maandalizi inafanya utaratibu wa huduma ya hoteli na malazi kwa washiriki wanaohitaji huduma hiyo. Kipaumbele kitatolewa kwa wale wanaotoka nje ya Unguja, na kwa wale watakaowahi kutoa taarifa. Mnaombwa kutoa ushirikiano mara taarifa kamili zitakapokuwepo.