Mada/Majopo ya Zanzibar 2018
- Ukuaji na ukuzaji wa Kiswahili kuwa taaluma ya kiakademia kupitia tafiti katika
nyanja kama Lughawiya, Lughawiyajamii, Pragmatiki, nk - Ufundishaji wa Kiswahili kama lugha ya kigeni (Malengo ya U5 katika
ufundishaji na ujifunzaji) - Ufundishaji wa Kiswahili nyumbani (elimu ya msingi, sekondari na vyuoni)
- Nafasi ya Kiswahili katika kupanua ajira kwa vijana
- Kiswahili na huduma za kijamii
- Taaluma za Leksikolojia na Leksikografia
- Ufasiri na Ukalimani
- Usanifishaji na uhurishaji
- Lahaja zinazoibuka (KiSheng, KiSwanglish, nk)
- Hali ya Kiswahili Nchini Rwanda, Burundi, DRC, Kusini Sudan, Uganda na
visiwa vya Komoro. - Programu za Kiswahili ughaibuni na nyumbani (Kama African Language
Flagship Initiative, Full bright Hays, nk) - Kuunganisha Kiswahili na fani/taaluma nyengine kama Kiswahili na Sayansi,
Kiswahili na Afya, Kiswahili na Uandishi wa Habari, nk) - Kiswahili na Utandawazi (Facebook, Twitter, nk)
- Tathmini ya ujuzi wa wanafunzi katika vipengele mbalimbali kama kuzungumza,
kuandika, kusoma, na kusikiliza - Umilikaji na Umilisi wa Kiswahili
- Fasihi ya Kiswahili na Utandawazi
- Fasihi ya Kiswahili na Nyenzo mpya za usomaji
- Ubidhaishaji wa Fasihi ya Kiswahili
- Uchapishaji wa Vitabu vya Kiswahili na Utandawazi
- Fasihi ya Kiswahili na Ufasiri/Tafsiri
- Taaluma za Kiswahili na Nadharia
- Fasihi, Ubunaji na Nadharia
- Majarida ya Kiakademia na Ukuaji wa Taaluma